Jersey Donation to Ulongoni Secondary School – Giving Back to the Community
Friday, May 2, 2025 | Dar es Salaam, Tanzania
As part of our commitment to giving back to the community and empowering young people through education and sports, our company proudly donated a full set of jerseys to Ulongoni Secondary School in Dar es Salaam on Friday, May 2, 2025. This meaningful contribution is a reflection of our dedication to nurturing talent, promoting teamwork, and fostering school pride among students.
The donation ceremony was graced by Salome James Rubisha, our Director of Finance, who represented the company and personally handed over the jerseys to the school leadership. In her remarks, she emphasized the importance of investing in youth development and encouraged the students to pursue excellence both in academics and extracurricular activities.
This initiative aligns with our broader mission of supporting communities that have shaped who we are. For us, Ulongoni Secondary School holds a special place as a symbol of growth, resilience, and future potential.
We believe that small acts of kindness can create a ripple effect of change. Today’s gesture was not just about uniforms—it was about hope, inspiration, and community spirit. We are honored to walk alongside Ulongoni in building a better tomorrow for the next generation.
Together, we grow. Together, we give.
Utoaji wa Jezi kwa Shule ya Sekondari Ulongoni – Kutoa kwa Jamii
Ijumaa, Mei 2, 2025 | Dar es Salaam, Tanzania
Kama sehemu ya kujitoa kwa jamii na kuunga mkono maendeleo ya vijana kupitia elimu na michezo, kampuni yetu imekamilisha kwa fahari utoaji wa seti kamili ya jezi kwa Shule ya Sekondari Ulongoni iliyopo Dar es Salaam mnamo Ijumaa, Mei 2, 2025. Mchango huu ni sehemu ya jitihada zetu za kukuza vipaji, kuimarisha mshikamano wa wanafunzi na kuendeleza moyo wa uzalendo katika shule.
Katika hafla ya makabidhiano, kampuni yetu iliwakilishwa na Bi. Salome James Rubisha, Mkurugenzi wa Fedha, ambaye alikabidhi rasmi jezi hizo kwa uongozi wa shule. Katika hotuba yake, alisisitiza umuhimu wa kuwekeza kwa maendeleo ya vijana na kuwahimiza wanafunzi kujitahidi katika masomo na shughuli za michezo.
Tunaamini kuwa shule ya Ulongoni ni mfano wa matumaini, ustahimilivu na uwezo mkubwa wa baadaye. Kwa njia hii ndogo lakini yenye maana kubwa, tunarudisha kwa jamii ambayo imetujenga na kutufikisha hapa tulipo.
Kwa kampuni yetu, utoaji huu haukuwa tu kuhusu jezi, bali ulikuwa ujumbe wa matumaini, moyo wa kushirikiana, na ujenzi wa jamii yenye mshikamano.
Pamoja tunaweza. Pamoja tunajenga kesho iliyo bora.